Werrason anatisha si mchezo Posted by Vempin Media Tanzania on June 29, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mwanamuziki nyota kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ngiama Makanda 'Werrason' akionyesha umahiri wake wa kucheza wakati wa onyesho lake lililofanyika Dar es Salaam juzi Picha zote kwa hisani ya Emmanuel Herman. Comments
Comments