Tuesday, May 13, 2008

Rais Karume atunukiwa shahada


Pichani Rais wa Zanzibar Aman Abeid Karume akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sheria ya Chuo Kikuu cha Taifa cha South Carolina, Marekani, alitunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafali ya kuwatunuku wahitimu mbalimbali chuoni hapo Ijumaa. Picha hii kwa niaba ya Ikulu ya Zanzibar.

1 comment:

Anonymous said...

Nani asiye jua kama Marekani degree hutolewa kama njugu. Je nani aliwahi kusikia uingereza mtu kapewa degree ya heshima?

CGP. KATUNGU AWATAKA MAAFISA USTAWI KUELIMISHA WAFUNGWA HAKI NA WAJIBU WAO

  Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Ma...