Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe akitoka katika ukumbi wa M-9 wa chuo
kikuu cha SAUT baada ya kumalizika kongamano la vijana kuhusu utunzaji wa
raslimali za nchi pamoja na dhana ya Utawala wa Majimbo lililoandaliwa na Chama
chake, inaelezwa kuwa Mbowe alianguka baaada ya kuteleza na hivyo kuumia mguu ambao
umewekewa P.O.P Picha ya mdau Frederick Katulanda
Comments