Mambo ya Israeli Posted by Vempin Media Tanzania on May 15, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mdau Sanga amedrop majuzi tu toka huko Israeli ana michapo kibao ametueleza na bila shaka msomaji utapata mambo mengi hivi kesho kuna habari moto mota za kutoka huko kumbe Waisraeli mambo yao shega sana. Picha hizi kazipiga mwenyewe. Comments
Comments