Mugongo mugongo


Nimepita katika blogu ya dada Shamim hakika imetimia, kila siku mie hupita pale lakini leo nimepita nimekuta mambo makini hebu mcheki HAPA KWAKE Uone mambozzz.

Comments

Simon Kitururu said…
Si utani pale pakali! Karibu kwangu pia siku moja moja.Mimi kwako nipo kamakawa!:-)
Anonymous said…
ni kupendeza tu hamna kuzeeka shenzi taipu,bongo tambarare