Tuesday, May 13, 2008

Rais Karume atunukiwa shahada


Pichani Rais wa Zanzibar Aman Abeid Karume akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sheria ya Chuo Kikuu cha Taifa cha South Carolina, Marekani, alitunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafali ya kuwatunuku wahitimu mbalimbali chuoni hapo Ijumaa. Picha hii kwa niaba ya Ikulu ya Zanzibar.

1 comment:

Anonymous said...

Nani asiye jua kama Marekani degree hutolewa kama njugu. Je nani aliwahi kusikia uingereza mtu kapewa degree ya heshima?

DKT. MWIGULU AWASILI SONGEA KUSHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA JENISTA MHAGAMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 15, 2025 amewasili mjini Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya...