bwana harusi Reginald Simon



Reginald Saimon mwanablogu mwenzangu huyu, ameamua kuondoka ghafla katika klabu ya mabachelor na mkewe Winifrida Kokwenda wakimeremeta jana baada ya kufunga ndoa kanisa la Mtakatifu Yosefu na baadaye kwenye bonge la pati Land Mark Hotel, Ubungo, dar

Comments