Vyuo vingine bwana hebu cheki chuo ambacho kinatarajiwa kutoa cream ya uandishi wa habari hapa nchini hebu nambieni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RAIS TSHISEKEDI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANZANIA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ampokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, Ikulu Nd...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...
3 comments:
DUH!
Sasa tatizo lipo wapi? ubora wa elimu si majengo mazuri we yahya charahani!Kama watapata mtaala mzuri na walimu wazuri watatowa waaandishi wazuri kulíko huko kwenye vyuo vya maghorofa! amka we yahya!
Nilitaka kuandika exactly what Mzee ANON hapo juu yangu ulichosema. Sasa kipi kianze kuelimisha watu au kupata majengo??? Watu lazima tuondokane na fikra mgando na kuacha kukebehi jitihada za kuleta elimu nchini.
Post a Comment