Sunday, March 09, 2008

Mama Raila kazini

Mke wa Waziri Mkuu mteule wa Kenya, Raila Odinga ,Ida , akihutubia kina mama katika Kanisa la Kiadventist , Kibera katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani juzi. Mama huyu anatarajiwa kuwa mama mkubwa wa Kenya baada ya Lucy Kibaki, mambo Kenya sasa shwari, wanasiasa wamepata walichotaka sasa tusubiri mengine. hebu cheki hapa http://www.eastandard.net/news/?msg=picturegal&picno=1

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...