Sunday, March 09, 2008

Dawasco bwana mambo yao



Pichani Juu Donart Missana Taratibu Meneja wa Dawasco Kawe akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na operation yao ya kukata maji inayoendelea kote jijini, jamaa hawa mambo yao yanafurahisha sana. Pole Kamanda Donart. (Picha ya Deus Mhagale)

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...