Ajali ya treni




Wakazi wa eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam, wakiangalia mabehewa ya Treni ya TAZARA yaliyoanguka jana. Hadi kufikiwa jana mchana, hakukuwa na taarifa za kuwapo majeruhi katika eneo hilo ambalo hutumiwa pia na waenda kwa miguu. PIcha za Athumani Hamis

Comments