Mambo ya Dar es Salaam Posted by Vempin Media Tanzania on March 24, 2008 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Dar DSM sema, hayo ndo mambo yenyewe yalivyo kila mmoja na lakke, ombaomba wanafanya vyao, barabara imejaa magari kivyake yaani ili mradi mpango ni vurugu tupu. Hili ndilo jiji la Kandoro bwanaaaaa. Comments
Comments