Sunday, March 16, 2008

Waziri Mkuu yuko Dodoma



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Dodoma, William Lukuvi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma jana . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...