Tuesday, March 04, 2008

Jengo la Ushirika laungua moto

reqk






Jengo la ushirika mtaa wa Lumumba maarufu ikama jumba refu kwa wenyeji wa Dar lilishika moto usiku wa kuamkia leo na kuteketezwa sehemu kubwa ya ghorofa ya chini. Chanzo cha moto hakijafahamika ingawa redio mbao zinatonywa kuwa ni hitilafu ya nani hii kama kawaida. Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha alitembelea eneo la tukio na kujionea jinsi zimamoto walivyoweza kuudhibiti moto usienee ghorofa zingine.

No comments:

Rais Samia Akutana na Balozi wa China Nchini Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Chi...