Sunday, March 02, 2008

Kofi Annan aiacha Kenya

Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Nigeria, Oluyemi Adeniji ambaye atashikilia kazi ya Upatanishi wa Kenya kwa muda.
Mpatanishi Mkuu wa mgogoro wa Kenya, na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa akipiga picha ya ukumbusho wa jiji la Nairobi.



Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Matifa Dk Kofi Annan ameondoka leo nchini Kenya huku akiacha ujumbe mzito kwa wananchi wa Kenya kushinikiza uongozi wao utekeleze makubaliano yaliyosainiwa mwishoni mwa wiki na ambayo yanatarajia kupitishwa Alhamisi ijayo.

No comments:

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TEWW

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu y...