Monday, March 24, 2008

Mama weee Bongo kama America



majeshi ya umoja wa afrika yakiongozwa na bongo yanatarajia kukiteka kisiwa cha anjouan wakati wowote kuanzia sasa. kwa picha hizi za afp na habari zaidi bofya hapa kwa michuzi

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...