Magari yakwama Chunya


Pichani ni magari ambayo yamekwama na kuziba njia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika kijiji cha Kawatere barabara ya kutoka Chunya kuelekea Mbeya ambapo barabra hiyo iko kweye matengenezo.(picha zote na Brandy Nelson )

Comments