Sunday, March 02, 2008

Waziri Mkuu kwa Biblia si mchezo


Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akipokea zawadi ya Biblia kutoka kwa Mhashamu Baba Askofu, Pascal Kikoti wa Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Mpanda la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi katika Ibada maalum jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...