Skip to main content
Mwana wa mkulima, Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na madiwani 23 kutoka katikawilaya ya Namtumbo ambao walimtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar esSalaam leo mchana. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Bw. Vita Kawawa. (Picha ya Ofisi ya Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments