
Mkurugenzi Mtendaji wa gazeti la Mwanahalisi, Saed Kubenea akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la polisi, IGP, Said Mwema jana. Sijui alikuwa anaomba msaada wa ulinzi asimwagiwe tindikali tena? ama alikuwa anataja mafisadi? Picha ya mdau Mpoki Bukuku.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu y...
No comments:
Post a Comment