Kamati Kuu ya CCM



Kamati kuu ya CCM ikiwa katika kikao jana asubuhi katika ofisi za Mkuu wa
mkoa wa Mara kabla hawajaelekea katika kikao cha halmashauli kuu
kilichofanyika Butiama. Picha ya mdau Edwin Mjwahuzi.

Comments