Masaai wakiwa kazini


Wajasiriamali wa Kimasai wakijituma jijini Dar es Salaam, hii ndiyo imekuwa njia yao ya kujipatia kipato chao cha kila siku ni kazi nzuri na imekuwa ikisaidia kina mama kufurahia urembo wao.

Comments