Pichani ni baadhi ya Watanzania waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa mwanzo kabisa wa kuvitangaza vivutio vya Tanzania katika Mabasi Ya London,Uingereza katika sherehe zilizofanyika katika ubalozi wa Tanzania mjini London Leo,Pichani baadhi ya wadau walioshiriki kwenye uznduzi huo na nyuma yao ni moja kati ya mabasi hayo likiwa limebandikwa Matangazo Hayo.
Comments