Friday, March 21, 2008

Mheshimiwa Richard Nyaulawa



Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof David Mwakyusa akimfariji mbunge wa Mbeya Vijijini mheshimiwa Richard Nyaulawa ambaye amelazwa katika hospitali ya Indraprastha Apollo nchini india kwa matibabu ya kansa ya utumbo,wakati Prof Mwakyusa na Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein walipofanya ziara katika hospitali ya Apollo leo. Mungu ampe nafuu apate kurejea kuendeleza libeneke katika sekta ya habari. Picha kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments:

RAIS TSHISEKEDI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANZANIA

 Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ampokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. FĂ©lix Antoine Tshisekedi Tshilombo, Ikulu Nd...