Leo ni sikukuu na pasaka wengi wa wakazi wa mijini wamejimwaya katika maeneo mbalimbali ya burudani kujipa raha, pichani mdau Faraja Jube alipata fursa ya kukatiza maeneo ya Coco Beach na mitaa ya Biafra hivi ndivyo alivyowakuta wananchi hawa wakiendeleza libeneke.
Comments