Friday, March 28, 2008

Mvua inaendelea jijini Dar es Salaam






Mvua zinazoendelea kunyesha jijni Dar es Salaam zimekuwa mwiba mchungu kwa kila mmoja si watu wa mabondeni tu bali hata kwa watu wa City Centre kama inavyoonekana katika picha hizi nilizoziopoa kwa wadau Issa Michuzi na Mpoki Bukuku. Kama zitaendelea namna hii balaa lake si la kawaida.

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...