Usafiri wa wanafunzi jijini Dar es Salaam una adha kweli kweli hebu cheki hawa watoto wanavyohangaika na malori, kila kukicha hali ni hii hii, na hakuna matumaini makubwa, watoto wetu wanaendelea kutaabika kwa kukosa usafiri na halafu tunategemea itokee miujiza ya usafiri kwa watoto wetu.
Comments