Bongo Dar es Salaam





Hebu cheki wakazi hawa wa Dar es Salaam wanavyochangamkia maisha, katikati ya jiji foleni kibao ya magari, kila mtu na lake, madereva wanawahi, abiria wanakimbizana ili mradi maisha si mchezo.

Comments