Sunday, May 01, 2016

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA RAIS TAMISEMI, UTUMISHI NA UTAWALA BORA 2016/2017

J1
Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akiingia ukumbi wa Bunge siku ya kupitishwa bajeti ya Wizara hiyo mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J2Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akitoa hoja ili Bunge liidhinishe na kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 ya Wizara hiyo mjini Dodoma.
J3Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akijibu hoja zilizoelekezwa na Wabunge kwenye Wizara hiyo kabla Bunge kuidhinisha na kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J4Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki akitoa hoja ili Bunge liidhinishe na kupitisha bajeti ya Wizara hiyo ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J5Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Philip Mpango akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu fedha za Serikali wakati wa kupitisha bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.
J6Wabunge wakiendelea na kikao cha Bunge cha bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Utumishi na Utawala Bora ya mwaka 2016/2017 mwishoni wa wiki mjini Dodoma.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...