Wednesday, January 06, 2016

UGENI KUTOKA WA UBALOZI WA UTURUKI WAMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
NUA2
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wa kwanza kushoto akielezea jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp wa pili kutoka kushoto jana alipomtembelea ofisini kwake, wengine ni Bw. Berat Colak aliyeambatana na balozi na anayefuatia Dr. Julius Ningu Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais. 
NUA3
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akifafanua jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp alipomtembelea ofisini kwake kwaajiri ya utambulisho na kumpongeza kwa kuteuliwa kwa nafasi ya Uwaziri jana.
Post a Comment