Wednesday, January 07, 2015

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA HOSPITALI YA LUGALO

unnamed3NRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro)unnamed1NRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana. Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro)

No comments:

RAIS SAMIA AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA TANGA

    Kilindi, Tanga – 25 Februari, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya k...