Friday, October 10, 2014

Safari ya mwisho ya Marehemu Batholomeo Brashi asubuhi ya leo

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu akizungumza leo asubuhi wakati wa ibada ya mazishi ya mfanyakazi wa NHC, Batholomeo Brashi aliyefariki mchana wa jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Ibada ya Mazishi imefanyika katika Kanisa Katoliki Muhimbili. 
Mjane wa Marehemu Brashi (aliyeshika tama) akifarijiwa na wakati wa ibada ya mazishi ya  marehemu mumewe Batholomeo Brashi aliyefariki mchana wa jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Ibada ya Mazishi imefanyika katika Kanisa Katoliki Muhimbili.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu akielekeza jambo wakati wa kuuingiza mwili wa  mfanyakazi Batholomeo Brashi aliyefariki mchana wa jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. 
Mwili wa marehemu ukipandishwa kwenye basi dogo aina ya Coaster kwaajili ya kusafirishwa leo asubuhi kuelekea Mpanda ambapo, msafara utasimama kidogo katika mikoa ya Iringa na Mbeya kwaajili ya kuagwa na kuwachukua ndugu na jamaa. Shirika limegharimia msiba wote.
Heshima za mwisho kwa mwili wa Mwili wa marehemu Brashi leo asubuhi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wanasubiri baada ya kuusindikiza Mwili wa marehemu uliosafirishwa leo asubuhi kuelekea Mpanda ambapo, msafara utasimama kidogo katika mikoa ya Iringa na Mbeya kwaajili ya kuagwa na kuwachukua ndugu na jamaa. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wamejipanga kuutoa mwili wa marehemu nje ya Kanisa tayari kuupeleka ndani ya gari, mwili wa Marehemu Brashi umesafirishwa leo asubuhi kuelekea Mpanda ambapo, msafara utasimama kidogo katika mikoa ya Iringa na Mbeya kwaajili ya kuagwa na kuwachukua ndugu na jamaa. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wanasubiri baada ya kuuaga mwili wa marehemu uliosafirishwa leo asubuhi kuelekea Mpanda ambapo, msafara utasimama kidogo katika mikoa ya Iringa na Mbeya kwaajili ya kuagwa na kuwachukua ndugu na jamaa. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wanasubiri baada ya kuuaga mwili wa marehemu uliosafirishwa leo asubuhi kuelekea Mpanda ambapo, msafara utasimama kidogo katika mikoa ya Iringa na Mbeya kwaajili ya kuagwa na kuwachukua ndugu na jamaa. 

Heshima za mwisho kwa mwili wa Mwili wa marehemu Brashi leo asubuhi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wanatafakari baada ya kuuaga mwili wa marehemu uliosafirishwa leo asubuhi kuelekea Mpanda ambapo, msafara utasimama kidogo katika mikoa ya Iringa na Mbeya kwaajili ya kuagwa na kuwachukua ndugu na jamaa. 

No comments:

RAIS SAMIA AFUNGUA SOKO LA KISASA KARIAKOO LILILOGHARIMU BILIONI 28, SASA BIASHARA SAA 24

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Sok...