Thursday, October 23, 2014

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)

PIX 1Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 5Mjumbe wa  Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage ambaye ni Mbunge wa Tabora mjini  akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam, kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 6Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Edmund Mndolwa (kushoto) akijibu maswali toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali kwa lengo la kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 8Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Bw. Justine Mwandu akichangia mada kuhusu kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
PIX 9Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakichangia mada wakati wa Kamati ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). kamati iliyofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam,
PIX 11Wabunge na wadau wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali wakati wa kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Kamati hiyo ilifanyika siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam,
PIX 12Wabunge na wadau wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali wakati wa kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Kamati hiyo ilifanyika siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam,

No comments: