
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanajadiliwa.

📌 Yanahusu usanifu, utengenezaji, ufungaji mifumo ya Nishati Jua na matumizi yake 📌 Asema mafunzo yanalenga kuendeleza matumizi ya nishat...
No comments:
Post a Comment