Friday, October 24, 2014

TANZANIA NA CUBA KUENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA HABARI

unnamed1Balozi  wa  Cuba  nchini Mh.  Lopez  Toronto  akiongea na Mkurugenzi  wa  Idara  ya  Habari Bw.  Assah  Mwambene  wakati   Balozi  huyo alipomtembelea  Bw. Mwambene Ofisini  kwake  leo  (jana),  katika mazungumzo  yao walijadiliana   kuhusu  maendeleo  ya  Tasnia ya Habari  baina  ya nchi  hizo  mbili.(Picha na Benjamin Sawe)

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...