Tuesday, October 28, 2014

MAHAFALI YA PILI YA WAMA NAKAYAMA YAFANYIKA

4
Msanii Vicky Kamata akiimba wimbo wa kumpongeza Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwa juhudi za kumkomboa mtoto wa kike kielimu wakati mahafali ya pili Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani  Rufiji mkoani Pwani yaliyofanyika juzi.
M5
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha  Rose Migoro(kulia) akimkabidhi cheti cha kuhitimu elimu ya sekondari  mwanafunzi wa kidato cha nne kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani  Rufiji mkoani Pwani  Ulizeni Ngonyani  katika mahafali ya pili yaliyofanyika jana
6
.Baadhi ya wahitimu  wa elimu ya sekondari  ya kidato cha nne kutoka  katika Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani  Rufiji mkoani Pwani   wakifurahia na jambo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za   mahafali ya pili yaliyofanyika juzi.
Picha namba 8892 ni Baadhi ya wake za viongozi waliohudhuria sherehe hiyo.
.Picha na Magreth Kinabo, Maelezo
IMG_8872
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha  Rose Migiro (katikati ) akizindua zahanati kwa  ajili ya matibabu ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira hatarishi ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani Pwani wakati  mahafali ya pili yaliyofanyika juzi.
IMG_8881
Wahitimu  wa elimu ya sekondari  ya kidato cha nne kutoka  katika Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira magumu ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wakiimba wimbo  wakati wa sherehe za   mahafali ya pili yaliyofanyika jana.

No comments: