Friday, October 17, 2014

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI TIGO YAWAWEZESHA WAENDESHA BODABODA JIJINI MWANZA

1Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.3Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza,juzi, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa. Kushoto ni Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza (RTO) Nuru Selemani4Madereva wa bodaboda wakitoka kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoandaliwa na Tigo jijini Mwanza juzi na kujisajili kwenye mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa.
6Madereva wa bodaboda wakitoka kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoandaliwa na Tigo jijini Mwanza juzi na kujisajili kwenye mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...