Mzee wa Mshitu
Thursday, October 23, 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA NCHINI CHINA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaoziwakilkisha nchi zao nchini China wakati alipokutana nao jijini Beijing China jana asubuhi.Rais Kikwete yupo nchini China kwa ziara ya kiserikali (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment