MWANASHERIA MPYA ZANZIBAR AAPISHWA Posted by Vempin Media Tanzania on October 17, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein akimuapisha Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Comments
Comments