Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Comments