Friday, October 17, 2014

MARIE STOPES TANZANIA YAZINDUA MRADI MPYA WA HUDUMA KAMILIFU KWA KINAMAMA

7Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akizindua Mradi mpya wa huduma kamilifu baada ya mimba kuharibika katika Hoteli ya Masons Shangani, Mjini Zanzibar.1Meneja Mradi wa huduma kamilifu  kwa kinamama baada ya kuharibika kwa mimba Ngitoria Lemonduli akielezea malengo ya mradi huo mpya uliozinduliwa leo tarehe 16 Oktoba Hoteli ya Mnsons Shangani, Mjini Zanzibar.
2Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akizindua Mradi mpya wa huduma kamilifu baada ya mimba kuharibika katika Hoteli ya Masons Shangani, Mjini Zanzibar.3Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Marie Stopes Tanzania ambae ni Mkurugenzi Rasilimali watu na Utawala Bi Elly Reweta akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mradi na kufunga mafunzo kwa wahudumu wa Afya Zanzibar.4Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mradi huo Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa mafunzo ya wiki mbili ya huduma kamilifu baada ya kuharibika kwa mimba ambayo yalidhaminiwa na  Shirika lisilo la Kiserikali la Marie Stopes Tanzania.5Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Dkta Haji Mwita Haji akizungumza na washiriki wa mafunzo na wageni waalikwa katika uzinduzi wa mradi wa huduma kamilifu baada ya mimba kuharibika.6Baadhi ya waalikwa na washiriki wa mafunzo ya wiki mbili ya huduma za akinamama baada ya kuharibika kwa mimba wakimsikiliza mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi huo.

No comments: