VIJANA WAASWA KUJITAMBUA ILI KUONDOKANA NA UMASKINI

1aKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi.
2aKaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchuni Bw. James Kajugusi akitoa mada kuhusu majukumu ya Maafisa Vijana wakati kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika leo mjini Tabora
3aMkurugenzi wa Ubunifu wa Kampuni ya GODTEC Bw. Aloyce Midelo akielezea namna Kampuni yao inavyosaidia vijana katika kujiari kwa kuanzisha makampuni yao wenyewe. ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
4aMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) akifafanua namna NHC ilivyo saidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
5aMeneja Miradi wa DSW Tanzania Bw. Avit Buchwa akielezea namna Shirika lao linavyosaidia vijana katika Nyanja ya Afya ya Uzazi. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi
6aBaadhi ya Maafisa Vijana wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa wawezeshaji (hawapo pichani)
7aBaadhi ya Maafisa Vijana wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa wawezeshaji (hawapo pichani)
………………………………………………………………..
Na Jonas Kamaleki
Maafisa Vijana wamekutana kati kikao kazi hiki ikiwa ni utaratibu wa kila mwaka ambapo unatekelezwa mara baada ya Kilele cha Mbio za Mwenge na Maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambapo mwaka huu kitaifa imefanyika Mkoani Tabora.

Comments