Tuesday, October 28, 2014

MRATIBU MKAZI WA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR

IMG_3633Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyefika Ikulu ya Zanzibar jana kwa ajili ya mazungumzo.
IMG_3641Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipomtembelea kwenye Ikulu ya Zanzibar jana.
IMG_3646Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiendelea na mazungumzo Mratibu mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyeambatana na Mwakilishi wa Mratibu mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini ofisi ya Zanzibar, Anna Senga (kushoto).

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...