Skip to main content
PINDA AWASILI MUSCAT OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa wa Kimataifa wa Muscat wa Royal Airport kwa ziara ya siku mbili ya kikazi nchini humo Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments