Friday, October 24, 2014

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA RELI NCHINI TANZANIA

IMG_4004Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).
 PICHA NA JOHN  LUKUWI. 

No comments:

RAIS SAMIA AMTEMBELEA PACOME, AMPATIA POLE NA KUMTAKIA AFYA NJEMA

  Dar es Salaam – Mchezaji wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua , amepata faraja ya kipekee baada ya kutembelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungan...