Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited ‘KONYAGI’ Bw. David Mgwassa wa pili kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Ofisa wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia akiwaonesha kinywaji cha zanzi wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara walipotembelea kiwanda hicho |
Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiangalia mashine inayotengeneza konyagi ya kiroba
Mjumbe wa kamati ya Uchumi viwanda na biashara Bi. Naomi Kaihula kushoto akiteta jambo naMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited ‘KONYAGI’ Bw. David Mgwassa pamoja na Mkurugenzi msaidizi kutoka wizara ya viwanda na biashara Bw. Deo Ndunguru walipotembelea kiwanda cha Konyagi kujionea mambo mbalimbali |
Comments