Marehemu Tanzania manispaa ya 2014.
Marehemu Tanzania ya 2014.
,Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania Kimario katika makaburi ya manispaa ya Meja Jenerali Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa
marehemu
marehemu
Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea
kaburini
kaburini
Askari wa JWTZ wakiwasili
makaburini
makaburini
Marehemu Tanzania makaburini
Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa
mazishi
mazishi
Kijeshi pembeni mwa kaburi
Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi hazijaanza
Sehemu ya waombolezaji
Waombolezaji katika mazishi
zingine wakiwa katika mazishi
Mazishi
ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo
kaburini
kaburini
Dua baada ya maziko
Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa
karibu
karibu
maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga
na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Msengi na Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa
mizinga
mizinga
“Last Post” ikipigwa
Meja Jenerali Ezekiel
Kyunga, jenerali Davis Mwamunyange akisoma salamu za rambirambi za JWTZ
Kyunga, jenerali Davis Mwamunyange akisoma salamu za rambirambi za JWTZ
Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho
Sarakikya
Sarakikya
Meja Jenerali Ezekiel
Kyunga, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa marehemu
Kyunga, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa marehemu
Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa
shukurani
shukurani
Watoto wa marehemu wakifarijiana
Rais Kikwete akiwafariji watoto wa
marehemu
marehemu
nyumbani kwa marehemu
Rais Kikwete akimfariji mjane wa
marehemu
marehemu
Rais Kikwete akiwafariji familia ya
marehemu
marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa
familia
familia
Rais Kikwete akiaga waombolezaji
Rais Kikwete akiagana na
waombolezaji
waombolezaji
Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndg Nape Nnauye wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU






































No comments:
Post a Comment