Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha
Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi
nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa
Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw.
Marek Kloczko,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland,
(Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bibi Katarzyna
Kacperczyk na Bwana Jerzy Pietrewiez ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya
Uchumi ya Polland (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya
kuwasili jijini Warsaw kwa ziara ya kikazi Oktoba 24, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara
cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo
Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia jijini
Warsaw Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda
cha ROL- BRAT kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi
nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda
cha ROL- BRAT kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi
nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Muu, Mizengo Pindaakipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini
Polland Bw, Aleksandr Zincman(kushoto) kuhusu usindikaji ngano wakati
alipokagua kiwanda cha kusindika unga cha Chojnow nchini Polland
akiwa kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Comments