WATENDAJI NHC WAPIGWA MSASA KOZI ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA

Mkuu wa Idara ya Utafiti, Uchapishaji, Ushauri na Kozi fupi, Bwana, Juma M. Kanuwa wa Chuo Cha Diplomasia Kurasini  (Mbele kulia) na Mkufunzi wa Itifaki na Diplomasia, Lucas Julius  wakifungua kozi ya CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM, iliyofanyika katika Jumba la Makumbusho Zanzibar kozi hiyo fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS) na ya muda mfupi kawaida huwa ni mabalozi na wakufunzi waliobobea sana katika mambo ya Diplomasia hivyo kuwapa washiriki uzoefu na kesi halisi zilizowahi kutokea katika eneo husika la mafunzo ili kuwajengea uwezo na waweze kwenda kufanyia kazi moja kwa moja mafunzo na utaalam walioupata.
Washiriki wa semina hiyo Gibson Mwaigomole wa NHC Arusha, Muungano Saguya na mshiriki mwingine kutoka Manisapaa ya Arusha wakijadilia jambo katika semina hiyo
Jumba la Makumbusho Zanzibar kulikofanyika kozi ya CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM, iliyofanyika katika Jumba la Makumbusho Zanzibar kozi hiyo fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS). 
Balozi Charles Sanga, aliyewahi kuwa Balozi katika Balozi mbalimbali Duniani ikiwamo China akitoa mada wakati wa kozi ya CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM, iliyofanyika katika Jumba la Makumbusho Zanzibar kozi hiyo fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS) 

Baadhi ya Washiriki wa kozi wa Diplomasia na Itifaki wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Charles Sanga, aliyewahi kuwa Balozi katika Balozi mbalimbali Duniani ikiwamo China akitoa mada wakati wa kozi ya CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM, iliyofanyika katika Jumba la Makumbusho Zanzibar kozi hiyo fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS) 

Eneo la mbele ya Jumba la Makumbusho Zanzibar kulikofanyika kozi hiyo fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS). 

Comments