Kaimu
Katibu Mkuu Kiongozi Peniel Lymo (Kushoto) akiongea na mwakilishi wa
Kamati ilyioandaa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa awamu ya
kwanza yaliyozinduliwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mh.Mizengo Peter Pinda (Kulia) akisalimiana na mwakilishi wa
Kamati ya maandalizi ya ufunguzi kusimamia mfumo wa Matokeo Makubwa
Sasa awamu ya kwanza
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (Maelezo) Bwana Assah Mwambene akiingia katika
viwanjwa vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam kuhudhuria
ufunguzi wa maonesho ya mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa awamu ya kwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania Mh.Dk. Jakaya Mrisho Kikwete(Kulia)
akisalimiana na mwakilishi wa Kamati ya kusimamia Mpango wa maendeleo.
Comments